sw_obs-tq/content/41/01.md

352 B

Je, Yesu alisema nini kitatokea siku tatu baada ya kifo chake?

Angefufuka kutoka kwa wafu.

Viongozi wa Kiyahudi walidhani nini kuhusu utabiri wa Yesu kwamba angefufuliwa tena?

Walidhani alikuwa mwongo.

Viongozi wa Kiyahudi waliogopa kuwa wanafunzi watafanya nini?

Walifikiri wanafunzi wataiba mwili na kudai Yesu amefufuka kutoka kwa wafu.