Yusufu na Nikodemo.
Waliufunga mwili kwa nguo na kuuweka kwenye kaburi lililochongwa katika mwamba na kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya kaburi.