sw_obs-tq/content/40/07.md

274 B

Ni maneno gani ya mwisho ambayo Yesu alisema akiwa msalabani?

"Imekwisha! Baba naiweka roho yangu mikononi mwako."

Ni tendo gani la miujiza ambalo lilitokea mara baada ya Yesu kufa?

Kulikuwa na tetemeko la ardhi na pazia kubwa la Hekalu lilipasuka vipande viwili.