sw_obs-tq/content/40/04.md

212 B

Je, mnyang'anyi ambaye hakumkejeli Yesu amwomba afanye nini?

Alimwomba Yesu kumkumbuka katika ufalme wake.

Jibu la Yesu lilikuwa nini kwa ombi la mwnyang'anyi?

"Leo, utakuwa pamoja nami katika Paradiso."