sw_obs-tq/content/40/02.md

337 B

Jina la mahali ambalo Yesu alisulubiwa paliitwaje?

Fuvu.

Askari walimtundikaje Yesu msalanani?

Walipiga misumari mikono na miguu.

Je! Yesu aliomba nini juu ya watu waliokuwa wakimsulubisha?

"Baba, wawasamehe, kwa sababu hawajui watendalo."

Ni nini kilichoandikwa kwenye ishara juu ya kichwa cha Yesu?

Mfalme wa Wayahudi.