sw_obs-tq/content/39/12.md

206 B

Kwa nini Pilato alimruhusu Yesu asulubiwe?

Pilato akaogopa kuwa umati huo ungeanza fujo.

Askari wa Kirumi walimtendeaje Yesu?

Wakampiga Yesu, wakavaa vazi la kifalme na taji ya miiba, wakamdhihaki.