sw_obs-tq/content/39/09.md

226 B

Kwa nini viongozi wa Kiyahudi walimchukua Yesu kumpeleka kwa gavana wa Kirumi Pilato?

Walitumaini Pilato atamhukumu Yesu na kumhukumu auawe.

Swali la kwanza ambalo Pilato alimwuliza Yesu?

"Wewe ni mfalme wa Wajahudi?"