sw_obs-tq/content/39/07.md

222 B

Petro alisema nini wakati watu waliuliza kama alijua Yesu?

Petro alikana mara tatu kwamba hamjua Yesu.

Nini kilichotokea mara baada ya Petro kumkana mara ya tatu?

Jogoo akalia, na Yesu akageuka na kumtazama Petro.