sw_obs-tq/content/39/06.md

211 B

Petro alikuwa wapi wakati wa jaribio la Yesu?

Petro alikuwa akingojea nje ya nyumba ya kuhani mkuu.

Kwa nini watu walidhani kwamba Petro alikuwa pamoja na Yesu?

Petro na Yesu walikuwa wanatoka Galilaya.