Alimwomba Baba yake tafadhali nisinywe kikombe hiki cha mateso, lakini mapenzi yako yatimizwe, ikiwa hapakuwa na njia nyingine ya dhambi za watu kusamehewa.