sw_obs-tq/content/38/04.md

121 B

Katika chakula cha Pasaka, Yesu alisema nini kuhusu mkate?

Alisema, "Huu ni mwili wangu, uliotolewa kwa ajili yenu."