sw_obs-tq/content/38/01.md

156 B

Nini maana ya Pasaka ambayo Wayahudi waliadhimisha kila mwaka?

Pasaka huadhimisha jinsi Mungu alivyowaokoa mababu wa Wayahudi kutoka utumwa huko Misri.