sw_obs-tq/content/37/05.md

207 B

Nini kitatokea kwa waumini kwa sababu Yesu ni Ufufuo na Uzima?

Kila amwaminiye ataishi, hata akifa, na kila mtu amwaminiye hatakufa kamwe.

Matha aliamini kwamba Yesu ni nani?

Masihi, mwana wa Mungu.