sw_obs-tq/content/37/04.md

135 B

Matha aliamini kwamba Yesu angeweza kumponya Lazaro?

Ndio.

Lazaro alikuwa amekufa kwa muda gani?

Alikuwa amekufa kwa siku nne.