Aliwaambia wasimwambie mtu yeyote kuhusu kile kilichotokea kwenye mlima mpaka baada ya kufa na kuwa hai tena.