sw_obs-tq/content/36/02.md

147 B

Ni mabadiliko gani yaliyompata Yesu wakati alipokuwa akisali?

Uso wake ulibadilika na kung'aa kama jua na mavazi yake yakawa meupe kama mwanga