sw_obs-tq/content/35/13.md

257 B

Kiasi gani cha mali ya baba sasa ni cha mwana mkubwa?

Kila kitu alicho nacho baba.

Sababu gani baba alipa kwa ajili ya kuadhimisha kurudi kwa mwanawe mdogo

Mwanawe alikuwa amekufa, lakini sasa alikuwa hai. Alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana.