sw_obs-tq/content/35/08.md

140 B

Mwana mdogo alimwambia nini baba yake wakati walipokutana?

"Baba, nimemtenda Mungu dhambi na wewe pia, Mimi sistahili kuwa mwana wako."