sw_obs-tq/content/35/06.md

275 B

Kwa nini mwana mdogo aliamua kurudi nyumbani?

Aligundua kwamba watumishi wa baba waliishi bora zaidi kuliko alivyofanya na wanakula chakula chakutosha.

Mwana mdogo alipanga kumuambia nini baba yake?

Atakwenda kumwomba baba yake amruhusu niwe mmoja wa watumishi wake.