sw_obs-tq/content/35/05.md

189 B

Nini kilichotokea katika nchi ambapo mwana mdogo alienda kuishi?

Kulikuwa na njaa kali.

Mwana mdogo alifanya nini ili apate kuishi wakati wa njaa?

Alifanya kazi ya kulisha Nguruwe.