sw_obs-tq/content/33/06.md

258 B

Je! Wanafunzi wameelewa maana ya hadithi?

Hapana, walikuwa wamechanganyikiwa.

Mbegu inawakilisha nini katika hadithi?

Neno la Mungu.

Njia inawakilisha nini?

Mtu anayelisikia neno, lakini asielewi, na Shetani huja na kulichukua neno kwa mtu huyo.