sw_obs-tq/content/33/05.md

161 B

Nini kilichotokea kwa mbegu iliyoanguka kwenye udongo mzuri?

Ilikua na kuzaa mara 30, 60, au mara 100 zaidi kadri ya wingi wake kama vile mbegu iliyopandwa.