sw_obs-tq/content/32/14.md

212 B

Kwa nini mwanamke aliye na tatizo la kutokwa damu alikuja kwa Yesu?

Alidhani kwamba ikiwa angegusa nguo za Yesu, ataponywa.

Nini kilichotokea mara tu mwanamke aligusa nguo za Yesu?

Kutokwa damu kukakoma.