Yesu akamwambia aende nyumbani na kuwaambia marafiki zake na jamaa juu ya kila kitu ambacho Mungu amemtendea.