sw_obs-tq/content/32/08.md

222 B

Mapepo walimwomba Yesu kuwapeleka wapi walipomwacha?

Waliomba kuingia kwenye kundi la nguruwe 2,000.

Nini kilichotokea kwa nguruwe wakati pepo walipowaingia?

Walikimbilia upande wa chini kwenye ziwa na kutumbukia.