Mara upepo ulikoma kuvuma na maji yakatulia.
Wakamsujudia Yesu na kusema, "Kweli, wewe ni Mwana wa Mungu."