sw_obs-tq/content/31/07.md

280 B

Nini kilichotokea kwa Petro alipoogopa upepo na mawimbi?

Alianza kuzama kwenye ya maji.

Je! Yesu alifanya nini Petro alipomwomba msaada?

Yesu alisimama na kumchukua Petro.

Je! Yesu alisema nini kama kumkemea Petro?

"Wewe mtu wa imani haba, kwa nini ulikuwa na shaka?"