sw_obs-tq/content/29/01.md

336 B

Petro aliuliza swali gani Yesu?

"Nimsamehe mara ngapi ndugu yangu akinikosea?"

Mara ngapi Petro alidhani anapaswa kumsamehe ndugu yake?

Mara saba.

Ni mara ngapi Yesu alisema anastahili kumsamehe ndugu yake?

Sabini mara saba.

Yesu alimaanisha nini aliposema, "Sabini mara saba?

Alimaanisha kuwa tunapaswa kusamehe daima.