sw_obs-tq/content/27/05.md

187 B

Katika hadithi ya Yesu, nini kilichotokea kwa Myahudi wakati alipokuwa akisafiri?

Aliishambuliwa na wezi, ambao walichukua kila kitu alicho nacho, na kumpiga mpaka alipokaribia kufa.