sw_obs-tq/content/26/06.md

301 B

Yesu aliwapa mifano gani ya manabii wa Mungu kuwasaidia watu kutoka mataifa mengine?

Mungu alimsaidia mjane kipindi cha ukame wakati wa Eliya, naye akamponya Naamani, amri za adui wa Israeli.

Watu walijibuje wakati Yesu alipowaambia hadithi hizi?

Walikuwa na hasira na walijaribu kumwua Yesu.