sw_obs-tq/content/26/05.md

196 B

Yesu aliwapa mifano gani ya manabii wa Mungu kuwasaidia watu kutoka mataifa mengine?

Mungu alimsaidia mjane kipindi cha ukame wakati wa Eliya, naye akamponya Naamani, amri za adui wa Israeli.