sw_obs-tq/content/26/04.md

298 B

Kifungu cha Maandiko ambacho Yesu alisoma kinamhusu mtu wa aina gani?

Masihi.

Yesu alisema nini kuhusu Maandiko ambayo alikuwa amesoma?

Alisema yalikuwa yanatimizwa wakati ule.

Watu wa mji wa Yesu walifanyaje kwa maneno yake?

Walikuwa wakishangaa na kuuliza, "Huyu si mwana wa Yosefu?"