sw_obs-tq/content/26/02.md

240 B

Mji ambao Yesu aliishi akiwa mtoto uliitwa jina gani.

Nazareti.

Yesu alienda wapi siku ya sabato?

Alikwenda mahali pa ibada.

Kwa nini watu katika mahali pa ibada walimpa Yesu kitabu cha Isaya?

Walitaka Yesu aisome kutoka kwake.