sw_obs-tq/content/25/01.md

210 B

Yesu alikwenda wapi baada ya kubatizwa kwake?

Alikwenda jangwani.

Ni nani aliyempeleka Yesu jangwani?

Roho mtakatifu alimpeleka.

Yesu alifanya nini jangwani?

Alifunga siku arobaini mchana na usiku.