sw_obs-tq/content/24/07.md

229 B

Kwa nini Yesu hakuwa na haja ya kutubu dhambi zake kabla ya Yohana kumbatiza?

Kwa sababu Yesu hajawahi kutenda dhambi.

Kwa nini Yesu alisema Yohana lazima ambatize?

Yohana alimbatiza Yesu kwa sababu ilikuwa jambo sahihi.