sw_obs-tq/content/23/08.md

261 B

Walimtambuaje kuwa ndiye mtoto mwenyewe pindi walipomuona?

Angekuwa amefungwa kwa vipande vya nguo na amelazwa kwenye eneo la kulisha.

Wachungaji walifanya nini baada ya kumwona mtoto?

Wakarudi machungoni, wakimsifu Mungu kwa yale waliyosikia na kuona.