sw_obs-tq/content/23/02.md

204 B

Ni nini kilifanya Yusufu abadili mawazo na kumuoa Maria?

Malaika aenda na kuongea naye katika ndoto akisema, "Usiogope kumchukua Maria kama mke wako."

Nini maana ya jina "Yesu"?

"Yahweh ameokoa."