Yohana atakuwa nabii wa Mungu aliye juu na atawaambia watu namna ambayo wataweza kupokea msamaha wa dhambi zao.