sw_obs-tq/content/22/04.md

238 B

Elizabeth alikuwa mjamzito kwa muda gani wakati malaika alipomtokea Maria?

Miezi sita.

Malaika alisema nini kitatokea kwa Maria?

Atakuwa mjamzito na kuzaliwa mtoto.

Malaika alisema Yesu atakuwa nani?

Mwana wa Mungu aliye juu.