sw_obs-tq/content/22/02.md

272 B

Malaika alimwambia Zakaria amuita jina gani mtoto wake?

Alimwita Yohana.

Malaika alimwambia John angefanya nini katika maisha yake?

Yohana angewaandaa watu kwa ajili ya Masihi.

Kwa nini Zekaria hakuamini kwamba Elisabeti atakuwa na mtoto?

Walikuwa wazee sana.