sw_obs-tq/content/22/01.md

174 B

Miaka mingi iliyopita tangu Mungu alipozungumza na watu wake?

Miaka 400.

Ni shida gani alikuwa nayo Elizabeth, mke wa Zekaria?

Yeye hakuwa na uwezo wa kuwa na mtoto.