sw_obs-tq/content/20/12.md

121 B

Mfalme Koreshi alitoa amri gani kuhusu Wayahudi?

Myahudi yeyote ambaye alitaka kurudi kwa Yuda angeweza kwenda huko.