sw_obs-tq/content/20/08.md

181 B

Wakati mfalme wa Yuda alipoasi, askari wa Nebukadreza walimfanya nini?

Wakawaua mtoto wa mfalme mbele yake, wakamfanya kipofu, wakamchukua kwenda kufungwa gerezani huko Babeli.