sw_obs-tq/content/19/17.md

340 B

Kwa ujumla, watu waliwatendea nini manabii?

Watu waliwadhulumu manabii na wakati mwingine hata wakawaua.

Watu walimtendea nini nabii Yeremia?

Watu wakamtumbukiza Yeremia katika kisima kikavu na kumuacha huko kufa.

Je, Yeremia alikufa ndani ya kisima?

Hapana. Mfalme alimhurumia na akawaagiza watumishi wake wamvute nje Yeremia.