sw_obs-tq/content/19/15.md

219 B

Naamani alifanya nini baada ya kusikia maagizo ya Elisha?

Mara ya kwanza alikasira na hakutaka kufanya hivyo kwa sababu ataonekana kuwa mjinga, lakini baadaye akabadili mawazo yake na akafanya, na akaponywa kabisa.