sw_obs-tq/content/19/11.md

276 B

Mungu alionyeshaje kwamba alikuwa Mungu wa kweli?

Mungu alituma moto kutoka mbinguni ukateketeza nyama, kuni, miamba, uchafu na maji yaliyozunguka madhabahu

Watu waliitikiaje walipoona maonyesho ya nguvu?

Wakaanguka chini wakasema, "Bwana ni Mungu! Bwana ni Mungu! "