sw_obs-tq/content/19/03.md

129 B

Mungu alimhudumia vipi Eliya jangwani ambako alificha?

Mungu alimtuma ndege kila asubuhi na jioni wampelekee mkate na nyama.