sw_obs-tq/content/18/13.md

186 B

Ambaye alikuwa babu wa mfalme wa Yuda?

Mfalme Daudi.

Alikuepo mfalme yoyote wa Yuda aliyekuwa mwaminifu kwa Mungu?

Ndio, wengine walikuwa waaminifu, lakini wengi walikuwa waovu.