sw_obs-tq/content/17/14.md

387 B

Kwa jinsi gani Mungu alimuadhibu Daudi kwa dhambia aloifanya?

Mtoto wa kiume wa Daudi alikufa, kulikuwa na vita katika familia ya Daudi kwa muda wote wa maisha yake, na nguvu ya Daudi ilikuwa dhaifu sana.

Je! Mungu bado anaweka ahadi zake kwa Daudi licha ya Daudi kuwa si muaminifu?

Ndio.

Lilikuwa jina gani la mtoto aliyezaliwa baadaye kati ya Daudi na Bathsheba

Sulemani.