sw_obs-tq/content/17/01.md

164 B

Je Sauli alikuwa mfalme wa kwanza wa Israeli, alikuwa mfalme mwema au mfalme muovu?

Alikuwa mwema kwa miaka michache ya kwanza, lakini alibadilika akawa mwovu.